Adamu wa Fermo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adamu wa Fermo, O.S.B. (Fermo, Marche, karne ya 12 – Fermo, 1209 au 2013) alikuwa mkaapweke, halafu mmonaki Mbenedikto wa Italia aliyefikia kuwa abati wa monasteri yake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Mei[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.