Nenda kwa yaliyomo

Asafo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dirisha la vioo vya rangi likimuonyesha Mt. Asafo.

Asafo (pia: Asaf, Asaph au Asa; alifariki Llanelwy, Welisi, 596 hivi[1]) kuanzia mwaka 573 alikuwa askofu-abati wa jimbo ambalo baadaye lilipewa jina lake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa kila tarehe 1 Mei[2][3] lakini pia 5 Mei[4] na awali 11 Mei.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. ""Early History", City of St. Asaph, Denbighshire". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-05-02. Iliwekwa mnamo 2020-04-27.
  2. Martyrologium Romanum
  3. Ὁ Ἅγιος Ἀσάφιος Ἐπίσκοπος Οὐαλίας. 1 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
  4. National Calendar for Wales, accessed 6 February 2012
  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN|0-14-051312-4.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.