Ana
Mandhari

Ana (kutoka Kiebrania Hannah חַנָּה, yaani "fadhili") anaheshimiwa kama mama wa Bikira Maria na bibi wa Yesu kadiri ya mapokeo ya Ukristo na Uislamu, ingawa hatajwi katika Biblia wala katika Kurani, isipokuwa katika kitabu cha karne ya 2 kinachoitwa Injili ya Yakobo[1].
Humo anatajwa pia mume wake Yohakimu.
Wote wawili wanaheshimiwa kama watakatifu katika madhehebu mengi ya Ukristo, hasa tarehe 26 Julai[2][3].
Picha
[hariri | hariri chanzo]- Picha takatifu ya Kimisri, karne ya 8
- Ana akiwa na Maria na Kristo, Ujerumani, karne ya 15
- Masimulizi juu ya Mt. Ana, Ujerumani, karne ya 15
- Anna Selbdritt, Santiago de Compostela, Hispania
- Anna Selbdritt, Huelgas, Hispania, imeathiriwa na picha takatifu za Kigiriki za aina "Hodegetria"
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- Masomo ya Breviari - Sikukuu za Bwana, za Bikira Maria na za Watakatifu - Ndanda Mission Press 1978, uk 248-250
- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 256-257
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 215
- Maurice Soseleje, Kalendari yetu – Maisha ya Watakatifu – Toleo la pili – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Peramiho 1986 – ISBN 9976-63-112-X, uk. 59
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Saint Anne at Patron Saints Index
- Brief American Catholic article on "Sts. Joachim and Ann" Ilihifadhiwa 2 Mei 2009 kwenye Wayback Machine.
- "Anna, Grandmother of Jesus" by Claire Heartsong Ilihifadhiwa 26 Machi 2012 kwenye Wayback Machine.
- St. Anne page Ilihifadhiwa 11 Novemba 2012 kwenye Wayback Machine. at Christian Iconography
- "Here Followeth the Nativity of Our Blessed Lady" Ilihifadhiwa 8 Oktoba 2012 kwenye Wayback Machine. from the Caxton translation of the Golden Legend
- The Protevangelium of James Ilihifadhiwa 15 Novemba 2011 kwenye Wayback Machine.
- The Gospel of Pseudo-Matthew
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
