Nenda kwa yaliyomo

Santiago de Compostela

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha za mji.

Santiago de Compostela ni mji wa Hispania, makao makuu ya jumuia ya kujitegemea ya Galicia, maarufu kama lengo la Njia ya Santiago kutokana na kanisa kuu la Mtume Yakobo.

Kwa ajili hiyo mji umo katika orodha ya Urithi wa Dunia ya UNESCO.

Tarehe 1 Januari 2019 wakazi wake walikuwa 96,405.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Santiago de Compostela travel guide kutoka Wikisafiri

Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Santiago de Compostela kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.