Patakatifu pa Bikira Maria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Basilika la Guadalupe, linalotembelewa na watu milioni 10 hivi kwa mwaka, kuliko patakatifu pengine popote pa Bikira Maria.

Patakatifu pa Bikira Maria ni mahali popote ambapo mama wa Yesu anaheshimiwa kwa namna ya pekee, ama kwa kuwa aliishi huko, ama alitokea ama alifanya muujiza.

Mara nyingi ni lengo la hija hasa ya Wakristo wa madhehebu mbalimbali.

Kati ya patakatifu maarufu zaidi, kuna:

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patakatifu pa Bikira Maria kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.