Hodegetria
Hodegetria (kutoka Kigiriki Ὁδηγήτρια, Hodēgḗtria) ni aina ya picha takatifu ikimuonyesha Theotokos (Bikira Maria) akiwa amempakata Mtoto Yesu na kuelekeza mkono wake kwake kama kwa kumtambulisha kuwa ndiye wokovu wa ulimwengu.
Picha[hariri | hariri chanzo]
Ukristo wa Mashariki[hariri | hariri chanzo]
Mozaiki ya msanii wa Kigiriki, Torcello, karne ya 12
Theotokos wa Tikhvin (1300 hivi)
Kazi ya Christodoulos Kalergis (karne ya 18)
Ukristo wa Magharibi[hariri | hariri chanzo]
Kazi ya Duccio, 1284
Kazi ya Dietisalvi di Speme
Kazi ya Guido da Siena
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Cormack, Robin (1997). Painting the Soul; Icons, Death Masks and Shrouds. Reaktion Books, London.
- Vasilakē, Maria. Images of the Mother of God: Perceptions of the Theotokos in Byzantium, p. 196, Ashgate publishing Co, Burlington, Vermont, ISBN|0-7546-3603-8
- Kurpik, Wojciech (2008). Częstochowska Hodegetria (pl, en, hu) 302. Wydawnictwo Konserwatorów Dzieł Sztuki, Wydawnictwo Bernardinum. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-05-18. Iliwekwa mnamo 2022-07-09.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Byzantium: faith and power (1261-1557), an exhibition catalog from The Metropolitan Museum of Art (fully available online as PDF), which contains many examples of Hodegetria