Mama wa Mungu Derzhavnaya
Mandhari
Mama wa Mungu Derzhavnaya (yaani "Anayetawala") ni picha takatifu ya Urusi iliyokadiriwa kuchorwa katika karne ya 18. Ni kati ya zile zinazoheshimiwa zaidi na Warusi duniani kote[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Yazykova (2010), page 49.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mama wa Mungu Derzhavnaya kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |