Antifona za Bikira Maria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Salve Regina, 1787.

Antifona za Bikira Maria ni kundi la tenzi za muziki wa Kigregori zinazoimbwa kwa heshima ya Bikira Maria. Si antifona halisi kwa kuwa haziendani na uimbaji wa Zaburi yoyote.

Tenzi hizo zinatumiwa hasa na Wakatoliki lakini pia na baadhi ya Waanglikana.

Kwa namna ya pekee zinaimbwa baada ya Sala ya mwisho; maarufu zaidi ni:

Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antifona za Bikira Maria kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.