Nenda kwa yaliyomo

Antifona

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Liber responsorialis, yaani kitabu cha viitikio, ikionyesha kwanza antifona za wimbo wa Noeli.

Antifona (kwa Kiingereza "antiphon", kutoka Kigiriki ἀντίφωνον, ambamo mna: ἀντί "kinyume" na φωνή "sauti") ni aya inayotumika mwanzoni, lakini pia mwishoni na pengine hata mara kadhaa katikati ya Zaburi au wimbo mwingine katika ibada za Ukristo.

Mara nyingi antifona inakaririwa na kwaya au mkusanyiko wote wakati beti zinaimbwa na mwimbaji pekee[1].

  1. J. McKinnon, Music in early Christian literature (Cambridge University Press, 1989), p. 10.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antifona kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.