Aviti wa Orleans
Mandhari
Aviti wa Orleans (alifariki 17 Juni 530 hivi) alikuwa mkaapweke kutoka Beauce, halafu abati wa Micy, karibu na Orleans nchini Ufaransa.
Habari zake zinajulikana katika maandishi ya Gregori wa Tours[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 17 Juni[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Grégoire de Tours, Histoire de France
- Vies des Saints, Surius, troisième tome
- Grand livre des saints: culte et iconographie en Occident par Jacques Baudoin, Édition Creer, p. 114 n° 50
- Les vies des Saints par Adrien Baillet Volume 2, pages 215, 126
- Dictionnaire des postes aux lettres du Royaume de France par A.F. Lecousturier l'ainé Édition, 1817
- Abbé L. Jaud, Vie des Saints pour tous les jours de l'année, Tours, Mame, 1950
- Alban Butler : Vie des Pères, Martyrs et autres principaux Saints… – Traduction : Jean-François Godescard.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- http://nominis.cef.fr/contenus/saint/7289/Saint-Avit.html
- http://magnificat.ca/cal/fr/saints/saint_avit.html Ilihifadhiwa 4 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- http://nouvl.evangelisation.free.fr/avit_dorleans.htm
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |