Adalbert wa Prague
Jump to navigation
Jump to search

Fuvu la kichwa chake.
Adalbert wa Prague (kwa Kicheki Vojtěch, kwa Kipolandi Wojciech, kwa Kijerumani Adalbert; alizaliwa Libice takriban mwaka 956 – akauawa tarehe 23 Aprili 997) akiwa askofu mmisionari katika mji wa Prague (Ucheki).
Mwaka 999 alitangazwa kuwa mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake ni tarehe 23 Aprili[1].
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-14-051312-4.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
"St. Adalbert (of Bohemia)". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
- Map of Prussia from c 1660 with St. Albrecht location between Tenkitten and Fischhausen, west of Königsberg.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |