Nenda kwa yaliyomo

Fuvu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Fuvu la kichwa)
Fuvu la binadamu katika 3D.
Fuvu la kichwa na yaliyomo.
Fuvu la kichwa upande wa mbele.
Fuvu la kichwa pembeni.

Fuvu (pia "fuu") ni neno linalotumiwa hasa kuhusu mifupa ya kichwa cha binadamu na wanyama wengi ambayo ni maalumu kwa ajili ya kulinda ubongo.

Kila mwanadamu ana fuvu la kichwa; usingekuwa na fuvu usingeweza kuishi na kichwa kisingekuwa na umbo maalum.

Fuvu ni muhimu sana ili ubongo ufanye kazi yake vizuri. Maneno yanayo tumika kufafanua pande za fuvu utosi,kishogo na paji. Fuvu la nazi linaitwa zaidi kifuu.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fuvu kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.