Nenda kwa yaliyomo

Kifuu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nazi ikiwa imepasuliwa

Kifuu ni umbo la nje la nazi. Pale unaponunua au kutungua nazi huwa na eneo gumu la nje pia, ambalo ndani huwa na nazi yenyewe na maji yake. Pale unapovunja na kukuna ya ndani, kile kinachobakia huitwa kifuu cha nazi ambacho ndio fuvu la nazi.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kifuu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.