Nenda kwa yaliyomo

Getrude wa Nivelles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu ya Mt. Getrude huko Nivelles.

Getrude wa Nivelles (Landen, Austrasia, leo nchini Ubelgiji, 628 hivi [1]Nivelles, Austrasia, 17 Machi 659) alikuwa binti Mkristo wa familia maarufu. Baada ya kuvikwa na askofu Amando shela ya kibikira, akawa abesi mwenye busara wa monasteri pacha katika Ubelgiji ya leo, iliyoanzisha na mama yake Itta chini ya kanuni ya Kolumbani[2].

Pamoja na juhudi katika kusoma Neno la Mungu, kukesha na kufunga, alifaulu kupatanisha watawala waliochukiana.

Anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu, hasa baada ya sikukuu yake kutangazwa na Papa Klementi XII mwaka 1677.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 • Collet, Emmanuel. "Sainte Gertrude de Nivelles: Culte, Histoire, Tradition." Nivelles: Comité de Sainte Gertrude, 1985.
 • Delanne, Blanche. Histoire de la Ville de Nivelles: Des Origines au XIIIe siècle. Nivelles: Impr. Havaux, 1944.
 • Donnay-Rocmans, Claudine. La Collégiale Sainte-Gertrude de Nivelles. Gembloux: Duculot, 1979.
 • Effros, Bonnie. Caring for Body and Soul: Burial and the Afterlife in the Merovingian World. Pennsylvania: Pennsylvania State University Press, 1965.
 • MacNeill, Eoin. "Beginnings of Latin Culture in Ireland". Studies: An Irish Quarterly Review of Letters, Philosophy and Science, 20 (1931)
 • McNamara, Jo Ann and John E. Halbord with E. Gordon Whatley. Sainted Women of the Dark Ages, Durham, N.C.: Duke University Press, 1992.
 • Madou, Mireille, De heilige Gertrudis van Nijvel. Brussels, 1975 (the most extensive study on her veneration).
 • Madou, M.J.H., "S. Gertrude de Nivelles". In: Dictionnaire d'histoire et de géographie ecclésiastiques, 20 (1984), 1065–1068
 • Peyroux, Catherine. "Gertrude's Furor: Reading Anger in an Early Medieval Saint's Life." In Anger's Past: The Social Uses of an Emotion in the Middle Ages. Barbara H. Rosenwein, ed. Ithaca, N.Y.: Cornell University Press, 1998, 36–55.
 • ---––. The Fourth Book of the Chronicle of Fredegar. Trans. J.M. Walace-Hadrill. London: Nelson, 1960.
 • The New Cambridge Medieval History, vol. 1. Ed. Paul Fouracre. Cambridge: Cambridge University Press, 2008.
 • Wemple, Suzanne Fonay. Women in Frankish Society: Marriage and the Cloister, 500–900. Philadelphia: University of Pennsylvania Press, 1981.
 • Wood, Ian N. The Merovingian Kingdoms: 450–751. London: Longman, 1994.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.