Ponsyano wa Spoleto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ponsyano wa Spoleto (kwa Kilatini: Pontianus; 156 - Spoleto, Umbria, Italia, 14 Januari, 175) alikuwa kijana Mkristo aliyefia dini yake hiyo kwa kukatwa kichwa wakati wa dhuluma ya kaisari Marcus Aurelius[1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Januari[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Festa di S. Ponziano, patrono di Spoleto (it). Archidiocesi di Spoleto-Norcia (14 January 2013).
  2. Santi e Beati della Diocesi (it). Archidiocesi di Spoleto-Norcia.
  3. Martyrologium Romanum
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.