Vitalis wa Spoleto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Vitalis wa Spoleto (alifariki Spoleto, Umbria, Italia, karne ya 4 hivi) alikuwa Mkristo aliyefia dini yake hiyo wakati wa dhuluma ya Dola la Roma baada ya kushika imani na kumuiga Yesu Kristo.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Februari[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.