Geltrude Comensoli
Mandhari

Geltrude Comensoli (Bienno, Brescia, 18 Januari 1847 – Bergamo, 18 Februari 1903) alikuwa mwanamke wa Italia kaskazini ambaye, baada ya kushindwa na ugonjwa kujiunga na shirika la Bartolomea Capitanio, Masista wa Upendo wa Lovere wanaoitwa kwa kawaida Masista wa mtoto Maria, aliishi kibikira hadi alipofaulu kuanzisha shirika lake mwenyewe kwa ajili ya kuabudu ekaristi na kulea vijana. Jina lake la awali lilikuwa Caterina[1].
Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 1 Oktoba 1989, halafu mtakatifu na Papa Benedikto XVI tarehe 26 Aprili 2009[2][3].
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |