Nenda kwa yaliyomo

Maria An Guozhi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wafiadini Wakatoliki wa China.

Maria An Guozhi (1836 hivi - Liugongying, 11 Julai 1900) alikuwa bikira wa China aliyefia Ukristo pamoja na wenzake 3 kwa kukatwa kichwa wakati wa Uasi wa Waboksa[1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe na ya wenzake 3 tarehe 11 Julai[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.