Yohane Grande
Mandhari
Yohane Grande Román, O.H. (aliyependa kuitwa Yohane Mkosefu; Carmona, 6 Machi 1546 - Jerez de la Frontera, 3 Juni 1600) alikuwa bradha wa shirika la kihospitali la Mt. Yohane wa Mungu nchini Hispania.
Kabla ya hapo alikuwa ameanzisha hospitali mwenyewe, ila aliamua kuiunga na shirika hilo mwaka 1574.
Aling'aa kwa upendo kwa wafungwa na waliotengwa na jamii: alipokuwa anahudumia wagonjwa wa tauni aliambukizwa akafa[1][2][3].
Papa Pius IX alimtangaza kwanza mwenye heri tarehe 13 Novemba 1858, halafu Yohane Paulo II akamtangaza mtakatifu tarehe 2 Juni 1992[4] [5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Juan Grande Román (1546-1600)". The Holy See. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Saint John Grande". Saints SQPN. 22 Mei 2009. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/90630
- ↑ "Saint John Grande". Saints SQPN. 22 Mei 2009. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Juan Grande Román (1546-1600)". The Holy See. Iliwekwa mnamo 22 Mei 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |