Nenda kwa yaliyomo

Nikola wa Studion

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Nikola wa Studion (Khania, Krete, leo nchini Ugiriki, 793 – Kostantinopoli, leo nchini Uturuki, 4 Februari 868) tangu utotoni alikuwa mmonaki aliyepelekwa uhamishoni mara kadhaa kwa nguabu ya kutetea heshima kwa picha takatifu, lakini hatimaye akawa abati wa monasteri ya Studion mjini Konstantinopoli akafariki kwa amani[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 4 Februari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.