Yohane Eudes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Mt. Yohane Eudes, 1673.

Yohane Eudes (14 Novemba 160119 Agosti 1680) alikuwa padri nchini Ufaransa.

Alifanya kazi ya uinjilishaji na kuanzisha shirika la Yesu na Maria pamoja na lile la Bibi Yetu wa Upendo.

Ndiye aliyetunga matini ya liturujia kwa sikukuu ya Moyo mtakatifu wa Yesu na ya Moyo safi wa Maria.

Alitangazwa na Papa Pius X kuwa mwenye heri tarehe 25 Aprili 1909, akatangazwa na Papa Pius XI kuwa mtakatifu tarehe 31 Mei 1925.

Sikukuu yake huadimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Maandishi yake muhimu zaidi[hariri | hariri chanzo]

  • La Vie et le Royaume de Jésus (The Life and Kingdom of Jesus, 1637)
  • Le contrat de l'homme avec Dieu par le Saint Baptême, (Contract of Man with God Through Holy Baptism, 1654)
  • Le Bon Confesseur, (The Good Confessor, 1666)
  • Le Mémorial de la vie Ecclésiastique";
  • Le Prédicateur Apostolique
  • Le Cœur Admirable de la Très Sainte Mère de Dieu (the first book ever written on the devotion to the Sacred Hearts)

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.