Piran Mtakatifu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Piran.

Piran mtakatifu (au Peran, kwa Kilatini: Piranus[1]), alifariki 480 hivi, labda Perranzabuloe, Cornwall (Uingereza)[2][3][4][5] alikuwa abati wa karne ya 5 huko Cornwall, ingawa anadhaniwa kuwa na asili ya Ireland.[6]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Machi[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

 1. St Piran’s Oratory. St Piran Trust. Retrieved: 15 September, 2015.
 2. 2.0 2.1 2.2 Patrons - The Orthodox Church of Archangel Michael and Holy Piran. Oecumenical Patriarchate, Archdiocese of Thyateira and Great Britain. Laity Moor, Nr Ponsanooth, Cornwall. TR3 7HR. Retrieved: 16 February, 2016.
 3. Piran (Pyran) March 5. Orthodox England on the 'net (St John's Orthodox Church, Colchester). Retrieved: 15 September, 2015.
 4. Matthew Bunson and Margaret Bunson. Our Sunday Visitor's Encyclopedia of Saints. Second Edition. Our Sunday Visitor, 2014. pp. 683-684. ISBN 978-1612787169Script error: No such module "check isxn". pp. 683-684.
 5. William Haslam (Rev). Perran-Zabuloe: With an Account of the Past and Present State of the Oratory of St. Piran in the Sands. London: John Van Voorst, Paternoster, 1844. p. 56.
 6. Caroline Brett, ‘Petroc (fl. 6th cent.)’, Oxford Dictionary of National Biography, Oxford University Press, 2004 accessed 16 December 2008

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

 • Carter, Eileen. (2001). In the Shadow of St Piran
 • Doble, G. H. (1965). The Saints of Cornwall. Dean & Chapter of Truro.
 • Loth, J. (1930). 'Quelques victimes de l'hagio-onomastique en Cornwall: saint Peran, saint Keverne, saint Achebran' in Mémoires de la Société d'Histoire et d'Archéologie de Bretagne.
 • Plummer, Charles. (1922). Betha Naem nErenn
 • Tomlin, E. W. F. (1982). In Search of St Piran
 • Rev. Charles William Boase, M.A. (Fellow and Tutor of Exeter College, Oxford). PIRANUS, ST. In: William Smith and Henry Wace. A Dictionary of Christian Biography, Literature, Sects and Doctrines During the First Eight Centuries. Volume IV: N-Z. London: John Murray, Albemarle Street, 1887. pp. 404-405.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Piran Mtakatifu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.