Guntram
Mandhari
Guntram (pia: Gontran, Gontram, Guntram, Gunthram, Gunthchramn, Guntramnus; Soissons, Aisne, leo nchini Ufaransa, 532 hivi - Chalon-sur-Saône, leo nchini Ufaransa, 28 Machi 592) alikuwa mfalme wa Wafaranki huko Orleans na Burgundy tangu mwaka 561[1][2].
Alikuwa na tabia mbaya na kutenda dhambi nyingi, lakini imani ilimuongoza kuheshimu Kanisa na viongozi wake, kujenga monasteri na kuhamasisha uinjilishaji, kupatanisha ndugu zake[3], kusaidia maskini na kuwaombea kwa kufunga mwenyewe[4].
Kwa sababu hiyo tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Butler, Rev Fr Alban (Mei 2009). Lives of the Saints: For Every Day in the Year (kwa Kiingereza). TAN Books. uk. 220. ISBN 9781618903075.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Ian Wood, The Merovingian Kingdoms 450–751 (Longman Group, 1994), 56.
- ↑ "Medieval Sourcebook: (St.) Gregory of Tours: History of the Franks (Decem Libri Historiarum)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-08-14. Iliwekwa mnamo 2021-03-24.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/47500
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Henry H. Howorth. "The Ethnology of Germany. Part 3: The Migration of the Saxons." The Journal of the Anthropological Institute of Great Britain and Ireland, Vol. 7. 1878. pp. 293–320.
- Dahmus, Joseph Henry. Seven Medieval Queens. 1972.
- Gregory of Tours. The History of the Franks, Volume II: Text. Trans. by Ormonde Maddock Dalton. Clarendon Press: 1967.
- Decem Libri Historiarum: Books 1-10. Ilihifadhiwa 14 Agosti 2014 kwenye Wayback Machine. Translated by Ernest Brehaut. Available at Medieval Sourcebook.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
