Ipasi, Asiani na Andrea
Mandhari
Ipasi, Asiani na Andrea (walifariki Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, 740 hivi) walikuwa maaskofu na padri ambao waliteswa kikatili sana na hatimaye kuuawa kwa kutupwa waliwe na mbwa kwa sababu ya kutetea heshima kwa picha takatifu iliyokatazwa na kaisari Leo III wa Bizanti [1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 20 Septemba[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |