Anyesi wa Montepulciano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Anyesi akikomunishwa na malaika.

Anyesi wa Montepulciano (Montepulciano, Toscana, Italia, 28 Januari 1268 - Montepulciano, Italia, 20 Aprili 1317) alikuwa bikira mwenye vipaji na karama za pekee kiasi kwamba alichaguliwa kuwa abesi akiwa na umri wa miaka 20 tu katika monasteri mpya ya Kifransisko. Baadaye mwenyewe aliihamishia familia ya kiroho iliyoanzishwa na Dominiko Guzman ambaye alikuwa amemtokea kwa ajili hiyo[1][2].

Anyesi alitangazwa na Papa Benedikto XIII kuwa mtakatifu mwaka 1726[3].

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe aliyoaga dunia[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Dorcy, Marie Jean. St. Dominic's Family, Tan Books and Publishers, (1983). Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-05-27. Iliwekwa mnamo 2021-04-16.
  2. Sant' Agnese Segni di Montepulciano (it). Santi Beati.
  3. (1996) Giambattista Tiepolo, 1696-1770 : [Venice, Museum of Ca' Rezzonico, from September 5 to December 9, 1996 : The Metropolitan Museum of Art, New York, [from January 24 to April 27, 1997]] (in en). Metropolitan Museum of Art, 222. ISBN 978-0-87099-812-6. 
  4. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.