Sigimundi Felinski

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha halisi ya Mt. Sigimundi Felinski.

Sigimundi Szczesny Felinski (Voiutyn, leo nchini Ukraina, 1 Novemba 1822Krakow, Polandi, 17 Septemba 1895) alikuwa askofu mkuu wa Warsaw, mji mkuu wa Polandi, ingawa alikaa karibu miaka yote uhamishoni.

Pia alianzisha shirika la kitawa la Masista Wafransisko wa Familia ya Maria.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 18 Agosti 2002 halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 11 Oktoba 2009.[1][2]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Zygmunt Szczęsny Feliński bio from Patron Saint Index
  2. "Eucharistic Celebration for the Canonization of Five New Saints". www.vatican.va. 11 October 2009. Iliwekwa mnamo 6 May 2020.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.