Theodota na wanae

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Theodota na wanae Evodi, Ermogene na Kalisti (walifariki Nisea, Bitinia, leo nchini Uturuki, mwanzoni mwa karne ya 4) walikuwa Wakristo wa Dola la Roma waliofia imani yao[1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 2 Septemba.[2]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.parroquiasanmartin.com/santateodotadenicea.html
  2. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN|88-209-7210-7)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.