Franko wa Assergi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Franko wa Assergi (Roio, Abruzzo, 1155 hivi – karne ya 13) alikuwa kwanza mmonaki Mbenedikto wa Italia, halafu akaenda kuishi upwekeni kwa unyenyekevu na malipizi katika pango la mlima[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Juni.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.