Stratoni, Valeri na wenzao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Stratoni, Valeri na wenzao Macrobi na Gordiani (walifariki Tomi, leo Constanta, nchini Romania, 320 hivi) walikuwa Wakristo wa Dola la Roma waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Licinius.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 15 Septemba[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.