Silvesta wa Troina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maandamano kwa heshima ya Mt. Silvesta huko Troina.

Silvesta wa Troina (Troina, Sicilia, leo nchini Italia, 1110 hivi - Troina, 2 Januari 1164), alikuwa padri mmonaki wa Kibazili, pia abati aliyefuata juhudi za Mababu wa Mashariki katika kisiwa cha Sicilia na hatimaye akaishi kama mkaapweke hadi kifo chake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu. Heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Julius III.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Januari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91172
  2. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Giacinto Chiavetta da Troina ofmCapp., Vita di San Silvestro da Troina monaco dell'Ordine di S. Basilio Magno, Messina 1734.
  • Salvatore Fiore, San Silvestro monaco basiliano di Troina, Grottaferrata 1930.
  • Historiae di Santo Silvestro, monaco basiliano, patrono della città di Troina, a cura di B. Arona e M. Ragusa, Troina 2000.
  • Il culto di San Silvestro a Troina attraverso lo studio delle confraternite e di un particolare ex voto. Atti della I giornata di studi su San Silvestro monaco basiliano di Troina. La vita, la memoria, la tradizione (Troina, 1 gennaio 2005), a cura di Paolo Giansiracusa e Sebastiano Venezia, Troina 2006.
  • San Silvestro e la "Civitas vetustissima": aspetti agiografici e memorie storiche. Atti della III giornata di studi su San Silvestro monaco basiliano da Troina (Troina, 28 dicembre 2006) a cura di Sebastiano Venezia, Troina 2008.
  • Maria Stelladoro, San Silvestro da Troina e il monachesimo italo-greco in Sicilia e in Italia meridionale (secc. IX-XIII d.C.), Roma 2014.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.