Nenda kwa yaliyomo

Teresa wa Yesu wa Los Andes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake halisi.

Teresa wa Yesu, O.C.D. (Santiago, Chile, 13 Julai 1900 - Los Andes, Valparaiso, Chile, 12 Aprili 1920) ni jina la kitawa la Juana Fernandez Solar, bikira, mnovisi wa Wakarmeli Peku[1].

Akifuata njia ya udogo iliyoelekezwa na somo wake, Teresa wa Mtoto Yesu, alipiga hatua kubwa kwa muda mfupi[2][3].

Akiwa na umri wa miaka 20 alijitoa mhanga kwa Mungu afe kwa ajili ya ulimwengu wenye dhambi akafariki kwa ugonjwa wa taifodi.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 3 Aprili 1987 halafu mtakatifu tarehe 21 Machi 1993.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 12 Aprili[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Her life was used for the a Chilean television miniseries spanning from 6 August until 10 September 1989 starring Paulina Urrutia as Teresa of Jesus. Other films have been made about her life.
  2. "Saint Teresa of the Andes". Saints SQPN. 31 Julai 2016. Iliwekwa mnamo 4 Januari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/62425
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.