Tarasi wa Konstantinopoli
Mandhari

Tarasi wa Konstantinopoli (kwa Kigiriki: Ταράσιος, Tarasios; Konstantinopoli, leo Istanbul, nchini Uturuki, 730 hivi – Konstantinopoli, 25 Februari 806) alikuwa Patriarki wa mji huo kuanzia 25 Desemba 784 hadi kifo chake.
Maarufu kwa maadili na ujuzi, alifungua na kufanikisha Mtaguso wa pili wa Nisea (787) [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Februari[2] au 25 Februari au 10 Machi.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/42700
- ↑ Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana 2001 ISBN|88-209-7210-7)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- The Oxford Dictionary of Byzantium, Oxford University Press, 1991.
- The Oxford Dictionary of the Christian Church, third edition
- Byzantium: the Early Centuries by John Julius Norwich, 1988.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- St Tarasius the Archbishop of Constantinople Orthodox icon and synaxarion
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |