Honorati wa Vercelli
Mandhari
Honorati wa Vercelli (Vercelli, Italia Kaskazini, 330 hivi - Vercelli, 415) anakumbukwa kama askofu wa mji huo kuanzia mwaka 396 hadi kifo chake [1].
Kabla ya hapo aliishi na mtangulizi wake Eusebi wa Vercelli monasterini na uhamishoni [2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Oktoba.[3]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/92418
- ↑ Ercole Crovella, BSS, vol. IX (1967), col. 1210.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Roma, Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, 1961-1969.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |