Yohane wa Napoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Yohane wa Napoli (alifariki Napoli, 2 Aprili 432) alikuwa askofu wa 14 wa mji huo, Italia Kusini, rafiki wa Paulino wa Nola. Alifariki wakati wa kesha la Pasaka[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Aprili[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.