Paskali Baylon
Mandhari

Paskali Baylon Yubero (Torrehermosa, Zaragoza, 16 Mei 1540 - Villarreal, Castellón, 17 Mei 1592) alikuwa bruda wa utawa wa Ndugu Wadogo nchini Hispania.
Akiwa daima mwema na mkarimu kwa wote, aliabudu daima kwa upendo mkubwa fumbo la Ekaristi takatifu. Ndiyo sababu amefanywa msimamizi wa ibada zote zinazoelekea sakramenti hiyo[1].
Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri tarehe 19 Oktoba 1618, halafu na Papa Alexander VIII kuwa mtakatifu tarehe 16 Oktoba 1690.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/53550
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 168-169
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 449-451
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |