Yosefu Maria Rubio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake halisi.

Yosefu Maria Rubio (Dalias, leo nchini Hispania, 22 Julai 1864 - Aranjuez, Hispania, 2 Mei 1929) alikuwa padri wa Shirika la Yesu, ambaye anaitwa mtume wa Madrid kwa jinsi alivyotangaza Injili huko, hasa kwa kutembelea mitaa maskini, mbali ya kuhubiri mafungo na kuungamisha waliotubu.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 6 Oktoba 1985 akamtangaza mtakatifu tarehe 4 Mei 2003[1][2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3][4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.