Kunegunda wa Luxemburg
Mandhari

Kunegunda wa Luxembourg, OSB (975 hivi – Kaufungen, 3 Machi 1040[1]) alikuwa mke wa kaisari wa Dola Takatifu la Kiroma (Ujerumani) Henri II[2][3].
Inasemekana waliishi bila kufanya tendo la ndoa[4][5] na waligawa mali nyingi kwa watu fukara na kufadhili Kanisa kwa namna mbalimbali.
Mwaka mmoja baada ya kufiwa mume wake, aliingia monasterini na kumfanya Kristo kuwa urithi wake kama alivyotamani tangu ujanani.
Alipofariki yeye pia, alizikwa kwa heshima zote karibu na mumewe.
Tarehe 29 Machi 1200 alitangazwa na Papa Innocent III kuwa mtakatifu, kama mumewe.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Martyrologium Romanum, 3 March, #8 (2005)
- ↑ "Saint Kunigunde". New Catholic Dictionary. saints.sqpn.com. 7 Oktoba 2012.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/43700
- ↑ "St. Cunegundes, Empress - Pictorial Lives of the Saints: with Reflections for Every Day in the Year". Garden of Mary. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-06-08. Iliwekwa mnamo 2018-02-02.
- ↑ Farmer, David Hugh (1997). The Oxford dictionary of saints (tol. la 4.). Oxford [u.a.]: Oxford Univ. Press. ku. 119. ISBN 0-19-280058-2.
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 79
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 65
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |