Silvia wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Silvia alivyochorwa, lakini kwa kweli macho yake yalikuwa ya buluu[1].

Silvia wa Roma (520 hivi - 592 hivi) alikuwa mwanamke Mkristo, mama wa Papa Gregori I na mtoto mwingine asiyejulikana kwa jina [2].

Baada ya kufiwa mume wake, Gordiani (573), aliishi kama mmonaki wa Kibenedikto[3][4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, msimamizi wa wajawazito[5].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Novemba[6].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Monks of Ramsgate. “Sylvia”. Book of Saints, 1921. CatholicSaints.Info. 4 November 2016
  2. Klemens Löffler. “Saint Silvia”. Catholic Encyclopedia, 1913. CatholicSaints.Info. 9 August 2013
  3. [1]
  4. "03.11: Memoria di Santa Silvia Madre di s. Gregorio Magno (verso il 572 a Roma o tra il 590 e il 592)". www.ortodossia.it. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-30. Iliwekwa mnamo 2021-08-13.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  5. “Saint Silvia of Rome”. "New Catholic Dictionary". CatholicSaints.Info. 9 August 2013
  6. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.