Nenda kwa yaliyomo

Wiligisi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro mdogo ukimuonyesha na padri Hartmann.

Wiligisi (Schoeningen, Ujerumani, 940 hivi - Mainz, 23 Februari 1011) alikuwa askofu mkuu wa Mainz (kuanzia mwaka 975 hadi kifo chake) maarufu kwa juhudi za kichungaji, ingawa alikuwa pia chansela mkuu wa Dola Takatifu la Kiroma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[2].

Sikukuu yake inaadhimishwa kwenye 23 Februari.[3]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/42530
  2. Francis Mershman, "St. Willigis", The Catholic Encyclopedia, Volume 15 (New York: Robert Appleton Company, 1912), 4 March 2014, [1]
  3. Martyrologium Romanum
  • Officium et miracula Sancti Willigisi, ed. V. I. Guerrier (J. Deubner, 1869)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.