Euplo
Mandhari

Euplo (alifariki Catania, Italia, 12 Agosti 304) alikuwa shemasi aliyefia Ukristo kwa kukatwa kichwa wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[1].
Kadiri ya mapokeo, gavana Kalvisiani alimtia gerezani kwa sababu alikutwa na Injili mikononi. Kisha kuhojiwa mara kadhaa, alipigwa hadi kufa kwa kuwa alijibu kwamba anajivunia kutunza Injili moyoni.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini, hasa tarehe 12 Agosti ambayo ndiyo sikukuu yake[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 276-277
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 237-238
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Catholic Online: St. Euplius
- OCA.org: Life of St. Euplus OCA.org: Life of St. Euplus
- http://files.oca.org/service-texts/2013-0811-texts.doc Service honoring St. Euplus
- Sant' Euplo (Euplio) di Catania
- Trevico –Le reliquie di Sant’Euplio al centro del turismo religioso
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |