Nenda kwa yaliyomo

Adelelmo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Adelelmo alivyochorwa katika kanisa kuu la Burgos.

Adelelmo, O.S.B. (pia: Elesmo, Aleaunie au Lesmes; Loudun, Poitou, Ufaransa, 1035 hivi - Burgos, Hispania, 1097 hivi) alikuwa kwanza askari, baadaye mmonaki padri aliyehudumia kama abati kwanza nchini mwake, halafu huko Burgos kisha kugeuza kanisa na hosteli[1] kuwa monasteri[2][3].

Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 30 Januari[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Guide to the City of Burgos, Turespaña, p. 8" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2022-02-23. Iliwekwa mnamo 2022-07-23.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90556
  3. Odden, Per Einar. "Den hellige Adelelmus av Burgos ( -1097)" Den katolske kirke
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.