Kristina wa Bolsena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Kristina, kazi ya Moriz Schlachter, (1889 hivi)

Kristina wa Bolsena, anayejulikana pia kama Kristina wa Turo, au Kristina Mfiadini mkuu[1] alikuwa mwanamke Mkristo wa karne ya 3 aliyefia dini yake.

Ingawa habari za maisha yake hazijulikani, tangu karne ya 4 anaheshimiwa huko Bolsena (Lazio, Italia)[2] na sehemu nyingine[3] kama mtakatifu bikira mfiadini[4].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Julai[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Αποστολική Διακονία (Kigiriki)
  2. Bolsena is an ancient town in central Italy, near an Etruscan site called Volsinium, with catacombs in which archeologists have found the remains of an early Christian church and the tomb of a female martyr. Inscriptions found on the site confirm that this martyr had a name like Christina and that the local community was venerating her as a saint by the end of the fourth century.
  3. Saint Christina of Tyre (July 24). Iliwekwa mnamo September 27, 2015.
  4. Reames, Sherry L. ed., "Christina of Bolsena: Introduction", Middle English Legends of Women Saints, Kalamazoo, Michigan: Medieval Institute Publications, 2003
  5. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.