Nilo wa Rossano
Mandhari
Nilo wa Rossano (pia: Nilo Kijana, Nilo wa Grottaferrata; Rossano Calabro, mkoa wa Calabria, Italia, 910 – Grottaferrata, karibu na Roma, 26 Septemba 1004) alikuwa abati wa wamonaki wa Ukristo wa Mashariki sehemu mbalimbali za Italia[1].
Tangu ujanani alilenga uadilifu na utakatifu akatamani toba, unyenyekevu na kujinyima makazi ya kudumu. Kisha kuwa maarufu kwa karama ya unabii na kwa mafundisho ya hekima, alianzisha monasteri ya Kibazili ya Grottaferrata akafa kanisani[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tarehe ya kifo chake ndiyo sikukuu yake[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ (Kigiriki) ΟΣΙΟΣ ΝΕΙΛΟΣ, Ο ΕΚ ΚΑΛΑΒΡΙΑΣ Ilihifadhiwa 12 Mei 2021 kwenye Wayback Machine.. Αποστολική Διακονία της Εκκλησίας της Ελλάδος.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/72100
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Orazio Campagna, San Nilo di Rossano al Mercurion - L’Athos d’Italia, Edizioni Lo Faro, Roma 2000
- David Paul Hester. Monasticism and Spirituality of the Italo-Greeks. Volume 55 of Analekta Vlatadōn. Patriarachal Institute for Patristic Studies [Patriarchikon Hidryma Paterikon Meleton], 1992. pp. 200–221.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Santa Maria di Grottaferrata Ilihifadhiwa 3 Februari 2019 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |