Justini wa Chieti
Mandhari

Justini wa Chieti anatajwa kama askofu wa kale wa Chieti, nchini Italia[1]aliyeonyesha bidii ya pekee na kutetea Wakristo [2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Santi Giustino, Fiorenzo, Felice e Giusta
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Saints of January 1: Justin of ChietiIlihifadhiwa 7 Septemba 2010 kwenye Wayback Machine.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |