Niseti wa Besancon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Niseti wa Besancon (pia: Nizier; alifariki karibu na Besancon, Ufaransa, 610 hivi[1]) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwishoni mwa karne ya 6.

Rafiki wa Papa Gregori I[2] aliinua upya jimbo lake baada ya uvamizi wa Makabila ya Kigermanik[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Papa Leo XIII alithibitisha heshima hiyo tarehe 24 Novemba 1900.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Februari[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Claude Fohlen (cur.), Histoire de Besançon, 2 voll., Nouvelle librairie de France, Parigi 1964-1965.
  • Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causaruom, Città del Vaticano 1999.
  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.