Nenda kwa yaliyomo

Sesaria wa Arles

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sesaria wa Arles (pia: Sesaria Mzee; 465 hivi - 525 hivi) alikuwa abesi huko Provence[1][2], leo nchini Ufaransa, dada wa askofu Sesari wa Arles[3][4][5][6] ambaye aliandika kanuni ya mabikira kwa ajili yake na ya wenzake, akiwa wa kwanza katika Ukristo wa Magharibi kuandika kanuni ya kitawa kwa wanawake (512)[7].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Januari.[8]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Klingshirn, p. 105
  2. McNamara, p. 113
  3. Duchesne, Louis (1907). Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule. Paris, Fontemoing, pp. 257-259.
  4. Arthur Malnory, Saint Cesaire Évêque d'Arles (503-543), 1894 (présentation en ligne) Éditions: G. Morin, Corp. christ. 103-104 (1953). Traductions françaises : A. de Vogüé - J. Courreau, Sources chrétiennes 345 (1988, * Œuvres monastiques, M.-J. Delage, Sources chrétiennes 175, 243 (1971, 1978, Sermons au peuple).
  5. William E. Klingshirn: Caesarius of Arles : The Making of a Christian Community in Late Antique Gaul, Cambridge University Press, 1994).
  6. Césaire d'Arles et la christianisation de la Provence, Actes des journées « Césaire » (3-5 novembre 1988, 22 avril 1989), par D. Bertrand, M.-J. Delage, P.-. Février, J. Guyon, A. de Vogüé, Éditions du Cerf, 1994
  7. Caesarius of Arles, Regula ad virgines and Regula ad monachos on Monastic Manuscript Project
  8. Martyrologium Romanum
  • Life of Caesarius of Arles (VIta Caesarii Arelatensis), by Bishop Cyprian of Toulon and others, ed. by Bruno Krusch, Monumenta Germaniae Historica, vol. 3, Hannover: Hahn 1896, pp. 433-501 Ilihifadhiwa 6 Machi 2016 kwenye Wayback Machine., English translation by William Klingshirn, Caesarius of Arles: Life, Testament, Letters, Liverpool: Liverpool University Press 1994 (Translated Texts for Historians, vol. 19), pp. 1–70.
  • Rule for nuns, ed. by Adalbert de Vogüé and Joël Courreau, Sources Chrétiennes, vol. 345, Paris: Cerf 1988, pp. 170–272, English translation by Maria Caritas McCarthy, Washington D.C.: Catholic University of America Press 1960.

Marejeo mengine

[hariri | hariri chanzo]
  • Klingshirn, William E. (2004). Caesarius of Arles: The Making of a Christian Community in Late Antique Gaul. Cambridge: Cambridge University Press. p. 105. ISBN|978-0-511-58387-2. OCLC 55719240
  • McNamara, Jo Ann; Halborg, John E.; Whatley, E. Gordon (1992). Sainted Women of the Dark Ages. Durham, England: Duke University Press. ISBN|978-0-8223-8236-2. OCLC 55716176
  • Storia del Cristianesimo dell'abate di Berault-Bercastel, vol. 7, 1829.
  • Della Gaze, Dictionary of Women Artists: Artists, J-Z, Taylor & Francis, 1997, ISBN 1-884964-21-4.
  • Jo Ann McNamara, John E. Halborg, E. Gordon Whatley, Sainted Women of the Dark Ages, Duke University Press, 1992.
  • Giuseppe Agostino Orsi, Storia ecclesiastica, vol. 35, G. Battaggia, 1825.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.