Aleksanda wa Filomelio na wenzake
Aleksanda wa Filomelio na wenzake askari 30 (walifariki Filomelio, Frigia, leo nchini Uturuki, karne ya 4) walikuwa Wakristo waliouawa kwa imani yao[1].
Hao wote walianza kuheshimiwa mapema kama watakatifu na wafiadini.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 13 Julai[2].
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |