Raimundi Gayrard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Raimundi katika mchoro mdogo.

Raimundi Gayrard (Toulouse, leo nchini Ufaransa, karne ya 11 - Toulouse, 3 Julai 1118) alikuwa mwalimu Mkristo wa mji huo ambaye baada ya kufiwa mapema mke wake alijitosa katika matendo ya huruma, alianzisha hosteli kwa wahitaji 12[1], alishiriki ujenzi wa madaraja mawili na wa sehemu kadhaa za kanisa kubwa.

Hatimaye akawa kanoni wa kanisa hilo [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Julai[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Gérard Pradalié, « La fondation de l’hôpital Saint-Raimond de Toulouse : une remise en question », Annales du Midi,‎ 2007, p. 227-236
  • Pierre Gérard, « Un précurseur de l'aide sociale Raimon Gairart fondateur de l'hospice Saint-Raymond de Toulouse », Mémoires de l'académie des Sciences Inscriptions et Belles-Lettres de Toulouse, vol. 151, no X,‎ 1989, p. 253-262
  • Célestin Douais, « La vie de saint Raimond, chanoine, et la construction de l'église saint-Sernin, 1080-1118 », Bulletin de la Société archéologique du Midi de la France,‎ 1893-1894, p. 150-163

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.