Babila na wenzake
Mandhari

Babila na wenzake Urbani, Prilidani na Epoloni (walifariki 253) alikuwa askofu wa 12 wa Antiokia, leo nchini Uturuki[1] na watoto watatu aliowafundisha imani ya Kikristo, bila kujali dhuluma ya kaisari Decius.
Kisha kuteswa mara kadhaa kwa ajili ya dini yake, askofu huyo aliuawa amefungwa minyororo ya chuma aliyoagiza azikwe nayo. Inasemekana kuwa pamoja naye waliuawa hao watoto [2].
Tangu zamani wote wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini[3].
Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka tarehe 24 Januari[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- David Frendo, Dangerous Ideas: Julian's Persian Campaign, Its Historical Background, Motivation, and Objectives katika Bulletin of the Asia Institute, volume=21, year=2007
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Text of St John Chrysostom's homily on Saint Babylas.
- St. Babilas at the Christian Iconography web site.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |