Yohane wa Roma
Mandhari
Yohane wa Roma alikuwa Mkristo aliyeuawa pamoja na ndugu yake Paulo tarehe 26 Juni 362 kwa ajili ya imani yake chini ya kaisari Juliani Mwasi (361–363).
Inasemekana walikuwa matowashi na mashemasi na walikatwa vichwa vyao.
Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini na kutajwa pamoja katika kanuni ya Kirumi.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe ya kifo chao, 26 Juni[1].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- "Sts. John and Paul". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913. http://www.newadvent.org/cathen/08443a.htm.
- The Golden Legend: Saints John and Paul
- Saints of 26 June Ilihifadhiwa 9 Novemba 2013 kwenye Wayback Machine.
- (Kiitalia) Santi Giovanni e Paolo
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |